Kampuni ya CPM Business Consultants inatoa huduma ya kuandaa nyaraka za usajili wa kampuni. Pia tunawezesha usajili wa Kampuni au jina la biashara yako. Huduma hii inatolewa kwa bei nafuu. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0784394701 au fika katika ofisi zetu zilizoko Kimara Baruti, karibu na Kituo cha mafuta cha Bahama Mama.
Faida ya kusajili Kampuni au jina la biashara ni;
Utawezesha kufanya biashara yako kutambulika rasmi kisheria.
Itakuwezesha kupata fursa za kufanya biashara na taasisi za serikali kama vile kuomba tenda serikalini na kwenye Halmashauri za wilaya manispaa na majiji.
Pia biashara yako ikisajiliwa unaweza kupanua mtaji wako kwa kuingia ubia na makampuni ya nje na ya ndani kwani itakuongezea hali ya kuaminika.
CHARLES NAZI
MKURUGENZI MTENDAJI
CPM BUSINESS CONSULTANTS
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments