Uzuri wa wale wanaokemea kauli za uchochezi, hawawezi kusema chochote pale kinapotamkwa na mtu wa kutoka upande wao,
Mwbari hii kazungumza vizuri sana, kwamba mabadiliko yanayozungumziwa ni mabadiliko ya kidemokrasia, yaani mkwenda mpiga kura, mshindi aliyechaguliwa na wengi anapatikana, ambapo atakayeshinda si lazike CHADEMA au CCM, anaweza kutoka chama chochote. Kwani nani kasema kiongozi mwinginkuja sha kidikkideta? Hayo ni mawazo tu, tema mawazo finyu, cha msingi ni kupanda jukwaani na kumwaga sera zako, tena usizungumzie kwa kirefu kuhusu wapinzani wako.
Leo hii nimesoma kuna issue nyingine imezuka, eti kwa nini Lowasa anakuja nyuma alikopita Magufuli, hiyo ni hoja ya kushindwa kuzifikia ndizi mbivu, kama wakiweza wabadilishe iwe Lowasa Maguli afuate, kwanzababishwa na Serikali wenyewe, kinyume chake siku CCM wana launch kapeini yao owasa angelikuwa barabarani, lakin wakawachelewesha ndiyo maana yupo nyuma.yo nayo ni issue, hapo ni dalili za kuona anazidiwa kete..
Mimi bado masubiri kuona moto wa mabua ukizimika le wa makaa ya mawe, au miujiza itatokea,ule wa makaa ya mawe utazimika na kuucha wa mabua?
0 Comments