[wanabidii] SAFARI ZA MO LEMON MINT SODA YAVUKA MIPAKA YAFIKA MJI WA SANTORINI

Saturday, September 12, 2015
Habari za mchana,

Tafadhali pokea CODES

Mo Lemon Mint imefika hadi Santorini, Greece! Umeifikisha wapi Mo soda yako kutoka hapo Dar? Tutumie picha yako 'smile emoticon' ikichaguliwa tutaiweka kwenye ukurasa wetu wa facebook.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Kampuni ya  Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL GROUP), imeendelea kufanya vizuri sokoni kupitia upande wa vinywaji vyake  mbalimbali vikiwemo: MO Cola,  MO Portello na, MO Malt, MO Lemon Mint, MO chungwa na MO Bomba (Energy drink).

Kupitia ukurasa wa Facebook wa MeTL GROUP, (https://www.facebook.com/MeTLGroup) wamebainisha kuwa  kampuni hiyo yenye kauli mbiu ya 'The People's  Brand', imeendelea kuwa karibu na wateja wao ilikuweza kushirikisha mawazo mbalimbali katika kufikia malengo ya kimaisha.

Mbali na kushirikishana mawazo hayo na wateja wao waliopo kwenye ukurusa huo maalum wa facebook, pia imeweza kutoa elimu na namna ya hatua za kufuatwa kwa watu ikiwemo mazoezi, vyakula vinavyofaa kuliwa na mambo mengine.

Pia kupitia ukurasa huo wa facebook,  wateja wameombwa kutuma picha zao wakiwa na vinywaji kutoka MeTL GROUP, ikiwemo MO Bomba, MO Cola, MO Lemon Mint, MO Portello, Mo Embe, MO Chungwa  nakisha kutuma katika ukurasa huo na 'Ku-SHARE'.  Huku wakitakiwa kupiga picha na kinywaji hicho na kueleza mahala walipo!

Huwezi kujua ukiwezacho mpaka umejaribu ‪#‎UsikateTamaa‬

..Ndoto yako ni nini?

Vitu vya kuzingatia na kuchukua unapoenda kufanya mazoezi ya viungo...mpango mzima na MO Bomba iwepo kukuongezea nguvu na kukuweka na nguvu zaidi..

Mchezaji bora wa Basketball MICHAEL JORDAN hakuchaguliwa kwenye timu ya basketball kwenye shule yake ya Sekondari kwasababu alikuwa mfupi kuliko wenzake. ‪#‎UsikateTamaa‬

KAWAIDA

lemonMo Lemon Mint imefika hadi Santorini, Greece! Umeifikisha wapi Mo soda yako kutoka hapo Dar? Tutumie picha yako 'smile emoticon' ikichaguliwa tutaiweka kwenye ukurasa wetu wa facebook.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Kampuni ya  Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL GROUP), imeendelea kufanya vizuri sokoni kupitia upande wa vinywaji vyake  mbalimbali vikiwemo: MO Cola,  MO Portello na, MO Malt, MO Lemon Mint, MO chungwa na MO Bomba (Energy drink).

Kupitia ukurasa wa Facebook wa MeTL GROUP, (https://www.facebook.com/MeTLGroup) wamebainisha kuwa  kampuni hiyo yenye kauli mbiu ya 'The People's  Brand', imeendelea kuwa karibu na wateja wao ilikuweza kushirikisha mawazo mbalimbali katika kufikia malengo ya kimaisha.

Mbali na kushirikishana mawazo hayo na wateja wao waliopo kwenye ukurusa huo maalum wa facebook, pia imeweza kutoa elimu na namna ya hatua za kufuatwa kwa watu ikiwemo mazoezi, vyakula vinavyofaa kuliwa na mambo mengine.

Pia kupitia ukurasa huo wa facebook,  wateja wameombwa kutuma picha zao wakiwa na vinywaji kutoka MeTL GROUP, ikiwemo MO Bomba, MO Cola, MO Lemon Mint, MO Portello, Mo Embe, MO Chungwa  nakisha kutuma katika ukurasa huo na 'Ku-SHARE'.  Huku wakitakiwa kupiga picha na kinywaji hicho na kueleza mahala walipo!

mo caHuwezi kujua ukiwezacho mpaka umejaribu ‪#‎UsikateTamaa‬

Ndoto yako ni nini..Ndoto yako ni nini?

mo boa

mmo

Vitu vya kuzingatia na kuchukua unapoenda kufanya mazoezi ya viungo...mpango mzima na MO Bomba iwepo kukuongezea nguvu na kukuweka na nguvu zaidi..
pote

Mchezaji bora wa Basketball MICHAEL JORDAN hakuchaguliwa kwenye timu ya basketball kwenye shule yake ya Sekondari kwasababu alikuwa mfupi kuliko wenzake. #‎UsikateTamaa‬

Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
+255714940992.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments