[wanabidii] NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI

Tuesday, September 08, 2015




NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMAN,


Kikosi Kazi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni chenye maskani nchini ujerumani juzi siku ya Jumamosi ya 5 September 2015 kilifanikiwa kufunika katika
onyesho Vechelde Festival nchini Ujerumani.bendi hiyo maarufu barani ulaya kwa kuwadatisha washabiki wa muziki wa kiafrika kule ughaibuni imejijenga umaarufu katika kila kona na kuwekwa kileleni katika nafasi ya juu na washabiki wake wa
kimataifa.inaongozwa na kamanda Ras Makunja na kuwa na utajiri wa wanamuziki vijana wenye wingi wa vipaji .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments