[wanabidii] ILANI ZA UCHAGUZI ZA CCM NA CHADEMA/UKAWA

Tuesday, September 22, 2015
Ndugu Zangu

Kwa utafiti niliofanya kwa siku tatu hapa Dar, Morogoro, na Ifakara watanzania wengi wanahitaji ilani za uchaguzi za hivi vikundi viwili kwa hamu sana.  Ninaamini kama vinapatikana vikiwekwa pale Posta na sehemu nyingine kama mnazi mmoja na kariakoo na popote Tanzania zitanunuliwa sana.

Ni fursa kwa wafanyabiashara wa vitabu na magazeti kuchangamkia.

Wazo la leo

Herment A. Mrema

Share this :

Related Posts

0 Comments