[wanabidii] CCM HAWAKUTARAJIA YA LOWASSA, JE CHADEMA WALITARAJIA YA DR. SLAA?

Monday, August 03, 2015
Mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA, Edward Ngoyayi Lowassa alipotangaza kujiengua kutoka chama chake cha awali, CCM, mengi yalisemwa hasa na upande wa upinzani kuwa CCM hawakutarajia Lowassa kuhamia CHADEMA.


Hapana shaka kila mtu anajua kinachoendelea ndani ya CHADEMA baada ya huyohuyo ambaye hakutarajiwa kujiengua kutoka CCM kuamua kuhamia CHADEMA.

SLAA hayuko tena CHADEMA na kwa taarifa zilizopo na ambazo kwa 90% tunaweza kusema ni za kweli tayari amesharudisha mali za CHADEMA ikiwa ni pamoja na Gari na Nyaraka za ofisi.

Hebu tujadili, wanaosema CHADEMA walitarajia SLAA kuondoka waseme NDIYO na wale wanaosema hawakutarajia waseme HAPANA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments