[wanabidii] NGOMA AFRICA BAND WAFUNGA KAZI MAMLING FESTIVAL,AUSTRIA

Tuesday, July 07, 2015

FFU WA NGOMA AFRICA BAND WAFUNGA KAZI MAMLING FESTIVAL , AUSTRIA







Mining,Austria

Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU yenye makao yake nchini Ujerumani, siku ya Jumapili 5 Julai 2015 ilifanikiwa kutingisha jukwaa la Mamling Festival,liliofanyika kule Mining,Austria.kikosi kazi iko cha Ngoma Africa band kilipangiwa kupanda jukwaani saa 10 na dakika 30 alhasiri,lakini maporomota walisogeza muda hadi saa 12 jioni ndio bendi hiyo ilipopanda jukwaani ,muda ulisogezwa kutoka na hali jua na joto kali lililofikia nyuzi joto 38c,ambazo sio za kawaida kwa msimu summer barani ulaya.Kikosi kazi kilipopanda jukwaani bila ya kuremba remba walianza kuporomosha muziki moto moto kama kawaida yao,kiasi cha kuwafanya waandaaji watoe mwaliko tena kwa bendi hiyo kushiriki onyesho la 2016 mungu akijalia.
Ngoma Africa baada ya kumaliza kazi wamerudi katika maskani yao ya himaya Anunnaki,kule Ujerumani

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments