Ndugu , Jamaa na Marafiki
Nachukua nafasi hii kuwatakia waislamu na Watanzania wote nchini siku kuu njema ya Iddi .
Tutumie kipindi hiki kuliombea Taifa letu ili uchaguzi mkuu ujao ufanyike kwa amani na upendo na kudumisha Umoja na mshikamano wa Kitaifa.
Tuendelee kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kuongeza tija katika maeneo yetu ya kazi
Kila la heri katika kazi za kila siku za ujenzi wa Taifa ,
Nawatakia kazi njema wote na Mungu awabariki.
Wasaalaam !
Phares Magesa ,
B.Sc,PGD,MBA, IEng.,MIET, MIEEE
--------------------------------------
Dar Es Salaam Port,
Tanzania Ports Authority
P.O.Box 1130
Dar Es Salaam
Tanzania
Office Tel: +255 22 2116257
Cell: +255 (0784/0713/0767) 618320
Ext: 1003242
E-mail: magesa@tanzaniaports.com
0 Comments