Peter, jibu haya maswali hawa ndugu zetu hawatauliza tena swali, wataanza kujipanga kununua
Hii kampuni ya mafuta ni ipi? ina umri gani iko bapi
inafanya mafuta gani, utendaji na bodi ni wepi?,
mihamala yake ya kifedha ikoje au ina fananaje? track record yake. je tunaweza kuona financial reports zake za walau miaka mitano
je imeshaorodheshwa kwenye soko la hisa la Dar au London?
kiasi cha chini ni hisa ngapi? kiasi cha juu ni hisa ngapi, thamani ya hisa moja ni shilingi ngapi?
Wakurugenzi hisa ngapi?
Kipindi cha manunuzi ni kipi?
Haya ni maswali ya msingi ya mwekezaji au mtu aneetake kuwekeza. Watanzania na sisi tupo ila hatuvumi ki hivyo!
0 Comments