Bunge limehairishwa ghafla kwa siku ya pili mfululizo. Wabunge wa Upinzani wamesimama na kupinga Waziri wa Nishati na Madini kuendelea kusoma Muswada wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Hati ya Dharura.
-Serikali inashinikiza kusomwa Muswada huo, inadai umepitia hatua zote.
Zaidi, Soma => http://goo.gl/0Rw1YY
0 Comments