Kuna wakati najiuliza swali-Nafasi ya mzanzibari kuupata urais wa Jamhuri ya Muungano ikoje?
Katika mazingira ya kawaida wazee ndio wanastahili kufa na watoto na vijana kukua. Lakini katika mazingira yasiyotarajiwa hutokea isivyotarajiwa mtoto hata kijana akafa. Huwa huzuni kubwa, na simanzi mno. Nayafikiria mazingira ya nchi yetu hii ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Chini ya mfumo wa katiba tuliyo nayo na jinsi inavyochezewa. Nasema inachezewa maana uwepo wa katiba ya zanzibar inayokinzana na ya jamhuri ya Muungano ni kuichezea. kitendo cha kuwa na zanzibar yenye mazingira ya nchi kamili ni kuichezea katiba pia. sasa katika mazingira haya, ikitokea tukawa na rais wa jamhuri ya Muungano kutoka Zanzibar, halafu kwa bahati mbaya Muungano ukavunjika, nani atabaki na ridhaa ya kuiongoza Tanganyika? Ridhaa hiyo anaipataje kwa mujibu wa kifungu gani cha katiba? Nchi kuwa na marais wa Zanzibar mzanzibari na wa Tanzania mzanzibari!? Bila mabadiliko ya katiba kwa mujibu wa busara ya kawaida ya wapiga kura au ya vyama kuna wakati nafikiri kuwa huenda
ikitokea chama chochote kikamteua mgombea kutoka zanzibar kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano kuteuliwa kwake ni tangazo la matokeo ya uchaguzi na ni halali kwa chama kilicho na mgombea kutoka Bara kuanza kushangilia ushindi. Wewe Unasemaje? Hi hi hi!!!!!!!
Disclaimer:
> Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility for any
>legal consequences of his or her postings,
and hence statements and
>facts must be
presented responsibly. Your continued membership
>signifies that you agree to this disclaimer
and pledge to abide by
>our Rules and
Guidelines.
> ---
>
You received this message because you are subscribed to
the
>Groups "Wanabidii"
group.
> To unsubscribe from this group
and stop receiving emails from it,
>send
an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments