Nyumba , viwanja na mashamba yanauzwa. Kama wewe ni mnunuzi tuwasiliane. Nymba hizo viwanja na mashamba bei zake na mahali zilipo ni kama ifuatavyo;
Nyumba 2 ziko Mbagala ya kwanza ina vyumba 6, ya pili ina vyumba 7, fremu za biashara 4 na banda la uwani, bei ya nyumba zote mbili ni ni sh. milioni 70, kuna nyumba nyingine Pugu ina vyumba 3 choo cha ndani na sebule bei yake sh. milioni 30. Shamba lenye miti ya machungwa liko Muheza lenye ukubwa wa ekari 14 bei yake ni sh. milioni 23, Kiwanja cha Rufiji Eka 1 bei yake ni sh. milioni 4 na kiwanja cha Msakuzi chenye ukubwa wa mita 20 kwa 20 bei yake milioni 5. Bei zote zinzungumzika. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784394701
-- Nyumba 2 ziko Mbagala ya kwanza ina vyumba 6, ya pili ina vyumba 7, fremu za biashara 4 na banda la uwani, bei ya nyumba zote mbili ni ni sh. milioni 70, kuna nyumba nyingine Pugu ina vyumba 3 choo cha ndani na sebule bei yake sh. milioni 30. Shamba lenye miti ya machungwa liko Muheza lenye ukubwa wa ekari 14 bei yake ni sh. milioni 23, Kiwanja cha Rufiji Eka 1 bei yake ni sh. milioni 4 na kiwanja cha Msakuzi chenye ukubwa wa mita 20 kwa 20 bei yake milioni 5. Bei zote zinzungumzika. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784394701
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments