[wanabidii] NGOMA AFRICA BAND LIVE ! in STUTTGART ,GERMANY14 March 2015 Africa Unite Party,

Monday, March 09, 2015







NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA LIVE MJINI STUTTGART  ,GERMANY
 
                 Africa Unite Party   Jumamosi 14 March 2015

Bendi ya maarufu Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni aka Anunaki aliens 
bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho maalumu la AFRICA UNITE PARTY litakalofanyika katika ukumbi wa VTS uliopo mtaa wa Augusburger Str.442 D-70327 mjini Stuttgart,nchini Ujerumani.Onyesho hilo limeandaliwa
na shirika la Afrikaktiv e.V wakishirikiana na  shirika la Cabaret du Monde,
Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa kuwatia kiwewe washabiki wake kila
kona duniani wataporomosha muziki moto moto na mdundo wao maarafu
kama " Extraordinary Bongo Dansi" mdundo unaotingisha bila ya kuwa na
mpinzani huko ughaibuni, bendi hiyo inadumu katika medani ya muziki kwa
muda wa miaka 23 na kufanikiwa kujizolea washabiki kila kona.
Ticket za onyesho hilo zinapatikana kwa simu ( booking): Call9+49 0)152 12091242 au +49(0)152 106106137 Mnakaribishwa wote,pia usikose kuwasikiliza
FFU-Ughaibuni at www.ngoma-africa.com



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments