WASIRA AMVAA MEMBE
* Ni baada ya ofisi ya Membe kumdhalilisha
Wakuu Salamaa....
Katika hali isiyokuwa ya kawaida waziri wa kilimo Ndugu Wassira amemvaa Membe kwa kile kinachoonekana ofisi ya Membe kumdhalilisha....
Kwa muda wa siku mbili sasa, picha za Wassira zinazomdhalilisha zimekuwa zikisambazwa katika mitandao mbali mbali na wahusika wakubwa wakiwa ni waandishi na wapiga picha kutoka ofisi ya waziri huyo wa mambo ya nje. Kumbuka tarehe 7. 2. 2015 katika mkutano wa injili la dhehebu la wasabato, Membe ndiyo alikuwa mgeni rasmi na Wassira alihudhuria kama muumini wa kawaida wa dhehebu hilo..
"Ni kweli kipindi cha mwanzo sikuweka vizuri vifungo vya koti langu, ila baada ya kuambiwa hilo na mzee Kuboja nililiweka sawa, sasa saizi nashangaa ofisi ya huyo jamaa yangu inasambaza picha ya awali ili tu kunidhalilisha; kwa kweli nimeuzunika sana, nimefadhaika sana, na nimejua kwamba hizi mbio za urais wengine wanazitumia kama nafasi ya kuwachafua wenzao" wassira amesikika akisema
Katika hatua nyingine mpambe wake (Wassira) amesikika pia akisema "Kama ni vita vya urais kwa kweli pamefikia pabaya sana. Kilichofanywa na ofisi ya waziri Membe siyo ubinadamu kabisa, na ni unyama wa hali ya juu. Ila Membe ndiyo kawaida yake ni mtu wa siasa chafu, majungu, chuki, fitina na visasi, "....
Wakuu, ni jambo la wazi kwamba Wassira personally alitakiwa kujiangalia kwanza kabla ya picha, ukizingatia ni kiongozi tena mwenye nafasi ya juu, waziri mwandamizi. However kwa upande mwingine pia ofisi ya Waziri Membe wakishirikiana na Membe mwenyewe walichokifanya siyo uungwana hata kidogo, na siyo ubinadamu ukizingatia wote ni watumishi katika serikali mmoja....
Kama ingekuwa Nchi za wenzetu wasingevumilia huu uhuni uliyofanywa na ofisi ya Membe...
NB: kadri siku zinavyozidi kusogea ni jambo jema msaliti wa muda mrefu na mpanga mbinu hasi ndani ya serikali na kwa watumishi wenzake anazidi kujulikana....
Membe ni wa kuogopwa kama ukoma..
Asanteni
Agwambo
http://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=802058
Chanzo: JF
-- * Ni baada ya ofisi ya Membe kumdhalilisha

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments