Hivi kweli ni sahihi shule ya awali kulipia ada ya Tshs.1,200,000/= na zaidi kwa mwaka? Kweli hii hali ya kupandisha watoto wadogo kwenda kusomea shule za mbali itaisha? Kama shule ya karibu ada hiyo hiyo. Hivi hizi shule binafsi nani anadhibiti ada ada zake? Kila shule na ada yake kweli tutafikia BRN? Ni wakati umefika sasa pawepo na chombo cha kupanga ada za shule za binafsi kulingana na huduma inayotolewa. Hebu wanaohusika walivalie njuga swala hili! Au hili nalo linasubiri Rais Ajaye? Aaah hebu wanaohusika wawajibike!
Related Posts
- [wanabidii] Afrique : L'Africa Finance Corporation (AFC) accréditée comme partenaire du Fonds vert pour le climat
- [wanabidii] Kada wa CCM DAUDI PAULO MSUNGU ACHUKUA FOMU YA UBUNGE LINDI MJINI
- [wanabidii] Africa: Call for Entries for Etisalat Prize for Literature 2015 Announced: The first ever Pan African prize celebrating debut African writers of published fiction
- [wanabidii] THE STARS BAND YAZINDULIWA RASMI SIKU YA EID MOSI NDANI YA MZALENDO PUB HUKU IKISINDIKIZWA NA BENDI YA FM ACADEMIA PAMOJA NA BARNABA
- [wanabidii] New content updates
- [wanabidii] LOWASSA UMEPIGWA KWENZI NA DOLA LA CCM,BONYEA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments