[wanabidii] WAPINZANI WAMEKATA TAMAA YA KUSHINDA URAIS 2015

Thursday, January 22, 2015
Hivi kweli wapinzani tumekosa na tumekata tamaa ya kushinda nafasi ya urais kiasi kwamba hivi sasa wanachama na baadhi ya viongozi waandamizi wanajadili vita ya urais ccm tu, wanashindanisha kimjadala vijiweni, maofsini na hata kwenye vikao vya pombe, na wengine hata kujigeuza wachambuzi kwenye makala za magazeti, je ni kwamba upinzani tumekata tamaa ya kuwa na wagombea smart watakaoweza kushinda urais? na mbona tusikijte kutafuta na kutengenza kiitikadi wagombea hao kuliko kukodoa macho na kuanza utabiri wa nani atashinda huko ccm?
Ni kosa kubwa la kimantiki unaposhindwa kuilinda na kuisimamia itikadi na dira ya chama chako

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments