[wanabidii] LOVE AND DINE YAFANA SANA HAPA DARESSALAM SIKU YA VALENTINE

Saturday, February 16, 2013

Love & Dine Valentine Dinner Iliyoandaliwa na Mikono Media Tanzania Iliyofanyka JB BELMONT Hotel ya hapa Daressalaam imefanya sana,Mr Chriss Mauki ndio alikuwa mzungumzaji wa siku Husika na Mada Ilikuwa "Namna ya kutengeneza mahusiano yenye Nguvu na afya" Watu walijaa sana Kupita malengo ya waandaji na kudhihirisha namna Chriss Mauki anavyokubalika na kipaji chake cha kuwezesha semina katika nyanja ya saikologia na mahusiano,Mkurugenzi Mtendaji wa Mikono Media Mr Deogratius Kilawe ametoa shukrani kwa watu wote waliohudhuria ,na pia amezidi kuongezea kusema kuwa motiovational Talks Tanzania ni sekta ambayo ndio kwanza inaanza kukua Tanzania,na kuomba watanzania kuendelea kutoa ushirikiano wa dhati kwa kuwaunga mkono Hii Itasaidia Kubadilisha na kutengeneza Taisha kubwa Tanzania,kwani anaamini watu wakibadilishwa akili inavyofikiri hakika hakuna mtu atakayeweza kunungunika hakika,na dunia itakuwa mahala pema kwa kila mtu,Mambo mengi bado hayana Mfumo Hivyo Hatuna budi kushirikiana pamoja na kuweza kujenga Mifumo bora na kuwezesha Taifa letu kutimiza Malengo 2025.Pia aliwashukuru kampuni zilizo toa support siku Hiyo na kuendelea na mchango wao,Ambao ni Mikono Business consult

 

Mkurugenzi wa mikono Media Mr Deogratius Kilawe aliyevyaa tai nyekundua akiwa na mzunguzaji wa siku hiyo Mr Chirss Mauki Kushoto mwanzoni hapo Ni Mke wa Chriss Mauki,Kulia Ni Mr Chriss Mosyb

 


Chriss Mauki akiwa Kazini 

 


 

 

 


Mr Deogratius kilawe akitoa  maua kwa couples zilizokuja...

 

Photo: Mimi na pauline Zongo,Alifanya performance kubwa sana Pauline siku Hii ya valentine congral to her 

Pauline Zongo na Deogratius Kilawe

 


 


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments