[wanabidii] KASINGE TIBAIJUKA

Saturday, January 03, 2015
Tafadhali kaka. Unaposema huyu dada kuna wazo anataka kulijenga mie napata wasiwas. mko pamoja.
 Kasinge Gani kwa mtu nshomile asiyejua hata kuwa pese ya shulu inatakiwa iwekwe kwenye account ya shule? Basi tuweke ivi, kama kweli alikua hajui ni pesa ya wananchi alitaka kuiibiashule au kuiba kupitia mgongo wa shule. Na kiongozi mtata hivi hatufai.

Share this :

Related Posts

0 Comments