Fw: [wanabidii] ESCROW NA WATUMISHI WA UMMA

Friday, January 16, 2015

Mwenzangu hata mimi nashangaa kwa wanakamatwa wapokeaji bali mtoaji anapeta mitaani narejea usemi wa baba wa taifa alipo sema eti Enzi za utawala wake alichukia rushwa na mtoaji na mtoaji waote ni ni mazi ga nyanza pia nakumbuka usemi wake akitahadharisha watu wenye wenye fedha kuiweka selikali mfukoni, sasa najiuliza hivi  Selkali yetu imewekwa mfukoni? Daima nina mwanini Dr. Hosea katika uendaji wake je! kwa hili kapewa amri toka juu naye kaamua kuufyata? Naomba msaada wa maoni yenu wakuu kuhusu hili.
On Friday, January 16, 2015 8:16 PM, 'leonard magwayega' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Sheria ya PCCB haijabadilika wote mtoaji na mpokeaji ni watuhumiwa hivyo wanapaswa kushitakiwa wowote, vinginevyo there is hidden agenda. Tusubiri.
Bob Leo-Advocate.

On Friday, January 16, 2015 12:54 PM, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Nami nimejiuliza Hilo tangu Juzi.maana Mtoa Rushwa na mpokeaji wato wanamakosa.na wanastahili kushitakiwa wote kwa pamoja.au wanataka kumfanya shahidi? Tusubiri preliminary inquire itaanza kutupa mwelekeo kidogo wa Kesi,hata hivyo tuiache Mahakama ifanyekazi yake.

Sent from my iPad

On Jan 16, 2015, at 11:33 AM, "'mwassa jingi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Baada ya PCCB kuanza kuwapeleka mahakamani watumishi wa umma kwa tuhuma za kupata mgawo wa pesa za ESCROW ni dhahiri sasa tuhuma hizo ni za rushwa. Na pia kosa la rushwa huwa ni kwa mtoaji na mpokeaji kwa nini sasa wanakamatwa wapokeaji tu bila mtoaji ambaye anajulika naye kukamatwa? je sheria ya rushwa imebadilika? Tujadili
Mwassa.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments