[wanabidii] Offer kiwanja 6m.

Monday, December 08, 2014
Shamba lililopimwa  na lenye hati miliki lenye ukubwa wa  14,489 square feet  linagawanywa wiwanja  na kuuzwa kuanzia ukubwa wa 400m2 , 800m2 na kuendelea. Shamba hilo liko eneo la Kimara Suka Mtaa wa Golani  kwenye Mnara wa Voda. Kwa kupitia Maeneo ya Kimara Temboni ni karibu na Saranga Pub. Kuma barabara, umeme na maji karibu. Mawasiliano ni 0715 350 752 au 0754 350 752.

Share this :

Related Posts

0 Comments