Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Jimbo la Chalinze uliofanyika jana tarehe 14 Disemba, 2014
VIJIJI
Idadi ya vijiji ni 75.
Idadi ya vijiji ambako Chama Cha Mapinduzi kimepita bila kupingwa ni 38.
Idadi ya vijiji vilivyofanya uchaguzi (kupiga kura) ni 29.
Ushindi wa CCM kwa vijiji vilivyopiga kura ni 29. (Maana yake CCM imeshinda vijiji vyote, sawa na asilimia 100)
Matatizo yametokea katika vijiji 8 ambako tutarudia uchaguzi.
VITONGOJI
Idadi ya vitongoji ni 610.
Idadi ya vitongoji ambako Chama Cha Mapinduzi kimepita bila kupingwa ni 303.
Idadi ya vitongoji vilivyofanya uchaguzi ni 262.
Idadi ya vitongoji vilivyofanya uchaguzi na CCM ikashinda ni 242. (Sawa na asilimia 90 ya vitongoji vyote).
CUF vitongoji 10.
CDM vitongoji 10.
Matatizo yametokea katika vitongoji 45 ambavyo tutarudia uchaguzi.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments