ETI JWTZ KUSIMAMIA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA!!!!
Tanzania ni nchi ya ajabu na yenye maajabu makubwa. Eti Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapendekeza jeshi la wananchi (JWTZ) ndilo lihusike na uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura. Hivi tumerogwa? Na aliyeturoga hakuacha hata "Clue" ya wapi dawa ya kutufungua kutoka uchawini inaweza kupatikana? Je, tunamaanisha Jeshi hili hili ambalo viongozi wake wengi wakishastaafu tu wanageuka kuwa makada damdam wa CCM?
Na tunapoanza kuliingiza jeshi zima kwenye siasa za moja kwa moja za nchi tunategemea nini? Huko kwenye uandikishaji kikinuka na jeshi likawa linahusika na wananchi wakahamia barabarani na polisi wakashindwa, JWTZ itakuwa upande gani? #HiiTumeaYaUchaguziNiFeki.....Na inatumiwa na CCM.
HIVI TUMEVURUGIKA AKILI HADI SASA TUNAANZA KUFIKIRI UTUMBO!!
Think aloud "Enyi kizazi cha nyoka"! #PERIOD.
J. Mtatiro.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments