[wanabidii] CHADEMA YAPOTEZA 500 SERIKALI ZA MITAA

Thursday, December 04, 2014
Wagombea zaidi ya 500 wa Chadema majimbo ya Arumeru, Simanjiro na Monduli wameenguliwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya kutokea dosari katika fomu zao.
Mkurugenzi wa uchaguzi Chadema Kanda ya Kaskazini, Innocent Joseph alisema hata hivyo wanapinga sababu za kuondolewa kwa wagombea wao.
Kilimanjaro, 80 wameenguliwa.
source: Mwananchi

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments