Tumepata taarifa kuwa, mahakama ya kimataifa imefuta mashitaka ya uhalifu dhidi yabinadamu yaliyokuwa yanamkabili Rais Uhuru Kenyata, hii ni baada ya mwendesha mashitaka kukiri kushindwa kupata ushahidi unaoweza kumtia hatiani mtuhumiwa.
Hii inaweza kumaanisha kwamba hukutenda kosa, au ulitenda kosa ila ukawa mjanja zaidi ukawapoteza ushahidi wote.
Kwa sababu yoyote ile, kesi imefutwa, wewe ndo unaujua ukweli moyoni mwako.
Sasa watumikie wakenya ili wapate matumaini mapya.
Walioathilika wafute machozi na Mungu atakubariki.
Sent from Samsung tablet
0 Comments