[Mabadiliko] Kwanini Mwenyeji wa Siku ya UHURU WA TANGANYIKA Rais Wa JMT?

Tuesday, December 09, 2014

Nimejiuliza sana hili swali, 


Sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar, mwenyeji anakuwa ni Rais wa Zanzibar, 

Sikukuu ya Muungano Mwenyeji ni Rais wa JMT,
Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, mwenyeji ni Rais wa JMT,

Ni kwanini Rais Wa JMT ni mwenyeji wa sikukuu ya uhuru wa Tanganyika? 


Na swali lingine, kwanini hakuna hotuba kwa siku muhimu kama ya leo?
--
Ipyana Lwinga
Email:    ipyanalwinga@gmail.com

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPd8eK8gPBnPGaEB6HiP0cmSTnABuTVzerNoydqhDTxCUV7jgQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments