[Mabadiliko] Kwa nini vijana wanajiunga na vikundi vya ugaidi? R.Mabala

Friday, December 12, 2014

Nimemuona mwanabadiliko R.mabala akiongea juu ya vijana na ugaidi BBC usiku huu, amejibu swali la ni ni Kwa nini vijana wanajiunga na vikundi vya ugaidi?

 

Ni kwa sababau hawana shughuli, wanatengwa na jamii, wakieleza hisia zao wanapigwa vibaya sana kwa ukatili bora wakijiunga na vikundi vya ugaidi watapata shughuli/chakufanya


Tunahitaji mashirika ya kufanya kazi na vijana sio kufanya kazi kwa vijana, ukikaa kijiweni, mwisho akili yako itaharibika, hamna aliyezaliwa gaidi, kukaa bila cha kutumaini maishani ni hatari kwa vijana. Vijana wanahitaji kupata fursa ya kutimia fursa, vipaji nk

 

Anza na vijana hakikisha wanatambulika, wanapata shughuli nk hawatapata fikra za kwenda kwenye ugaidi


--
J L Kamala

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAFYWDFR%2B7ZYcGR3J9nJD0X0LXTZw3jiqif1OoW4c8qF0gLCchA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments