Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi wa habari: Wahisani kuzuia misaada kunawaumiza wanyonge..

Tuesday, November 11, 2014

Fred umenukuu sentensi hiyo moja tu lakini makala ya Maggid ni kutukuza ufisadi

Sent from Yahoo Mail on Android

From: 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>; mabadilikotanzania@googlegroups.com <mabadilikotanzania@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi wa habari: Wahisani kuzuia misaada kunawaumiza wanyonge..
Sent: Sun, Nov 9, 2014 1:10:07 PM

Mjengwa umeandika vizuri sana juu ya matatizo ya watoto kwenda shule bila kunywa chai lakini moja kubwa ni sentesi yako ya mwisho,

"Tupambane na mafisadi wetu kuhakikisha kuwa hawaendelei kutafuna vya kwenye hazina yetu" 

Wahisani wamesitisha misaada yaokwetu kwa vile sisi hatuhitaji msaada. siyo kwamba wanapotusaidia sisi kwao hakuna matatizo kabisa, wanayo mengi. nahata kama wangekuwa hawana matatizo hawawezi kutoa pesa kwa wasiozihitaji. sisi hatuhitaji msaada, hatuwezi kuomba msaada wakati pesa tulizonazo hatuzitumii vizuri. ni bora wawape msaaadawanaohitaji msaada lakini siyo sisi. tukusanye kwanza pesa zetu mikononi mwa mafisadi tuzipangie matumizi kama hazikutosha ndipo tukaombe nsaada, huu ndiyo ujumbe ninao uona kwenye hatua hiyo ya wahisani

From: 'heri rashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>; "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Sunday, November 9, 2014 3:43 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi wa habari: Wahisani kuzuia misaada kunawaumiza wanyonge..

 Si dhani kama kulaumu kunasaidia.

Hivi Mjengwa uchunguzi wa upotevu wa fedha hizo unapaswa kuchukua muda gani. Kila siku tunashuhudia drama bungeni. Huyu kasema hiki huyu kasema kile. Ukweli uko wapi?
Mimi suing mkono kabisa kauli ya waziri mkuu ya kulalamika badala ya kuchukua hatua ya waliosababisha upotevu wa kiasi hicho chote cha fedha.

ikumbukwe Mh. David Kafulila alishalalamika na kuomba kamati huru ya bunge iingilie sakata hili. Kwa ubabe wa hao akina waziri mkuu wakakakataa isiundwe tume huru. Wanaficha nini?

Kwa hiyo tusilalamike tu. TUCHUKUE HATUA.
Heri Rashid
MVIWATA 

On Sunday, November 9, 2014 3:29 PM, Augustine Rukoma <rukomapekee@gmail.com> wrote:

Mjengwa bwana kwani cc hatuna raslimali? vichwa vya kuoza hivi

On 11/9/14, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
> Ndugu zangu,
>
> Naungana na kauli ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliyoitoa Bungeni Dodoma
> Alhamisi, Novemba 6, 2014, kuonyesha masikitiko yake na ya nchi yetu kwa
> ujumla kwa kitendo cha kuzuia misaada cha wahisani kutoka nchi za Jumuiya
> ya Ulaya ikiwamo pia Norway, Canada, Japan, Benki ya Dunia na hata Benki ya
> Maendeleo ya Afrika.
>
> Kama ilivyo kwa mwanadamu, hakuna duniani taifa timilifu.
> Sakata la tuhuma za wizi wa fedha za Escrow/Iptl ni ' msiba' wetu
> Watanzania.
>
> Lakini, kama nchi, Serikali yetu haijakunja mikono na kusema ni ' Kazi ya
> Mungu tu'.
>
> Watanzania tunaona na wahisani pia wanaona, labda kama hawataki kuona, kuwa
> Serikali iliiagiza CAG na Takukuru kulifanyia uchunguzi suala hilo.
> Sasa kabla ripoti hazijawekwa mezani na kuona hatua gani wahusika
> wanachukuliwa, tunashuhudia wahisani wakisitisha kutoa kwenye bajeti kuu,
> kiasi cha dola za Kimarekani 558 sawa na shilingi bilioni 937.
>
> Ni fedha nyingi mno kwa nchi kuwa na nakisi nayo. Kuwa muhisani ni pamoja
> na kumuheshimu unayemuhisani. Kwamba naye ana wanaomtegemea ili nao waishi
> na waendeshe mambo yao ya msingi ya kila siku.
>
> Inavyoonekana, Wahisani wao wanaamua bila kufanya mazungumzo ya kina na
> wanaowahisani. Laiti Wahisani wangekaa chini na Serikali kuzungumzia azma
> yao ya kusitisha misaada yao kwa bajeti kuu, naamini, kuwa wangepata
> ufahamu mkubwa juu ya mchakato wa sakata hilo ulivyo, na kwamba wangevuta
> subira kusubiri matokeo ya mchakato huo. Na katika kipindi hicho bado
> wangetoa fedha walizotuahidi kama nchi ili ziweze kuchangia kwenye
> kuhakikisha watu wetu wanaendelea kupata huduma za afya na pia watoto wetu
> wanaendelea kupata elimu.
>
> Hakika, unapotembea vijijini na kukutana na picha kama hiyo hapo juu ya
> watoto wa wanyonge wa Tanzania kule Bigwa milimani, mkoani Morogoro, wakiwa
> wameamka alfajiri kuwahi shuleni, pengine bila kupata kikombe cha chai
> nyumbabi, basi, unajiwa na fikra, kuwa ni kwanini makosa yenye kutendwa na
> wachache katika nchi ipelekee wahisani kufanya maamuzi yenye kuwaumiza
> wengi wasio na hatia, na hata kuharibu mustakabali wao kimaisha, kwa
> kuwakosesha huduma bora za afya na elimu bora.
> Hivyo, naungana na Waziri Mkuu wetu, Mizengo Pinda katika kukosoa hatua ya
> wahisani ya kusitisha msaada wao kwenye bajeti kuu ya Serikali kwa sababu
> za kutaka kwanza kuona hatua za Serikali juuu ya sakata la IPTL/escrow. Na
> hili la wahisani, linatukumbusha umuhimu wa kujitegemea kama nchi.
> Tupambane na mafisadi wetu kuhakikisha kuwa hawaendelei kutafuna vya kwenye
> hazina yetu.
> Maggid,
> Iringa.
> http://mjengwablog.com
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forum" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> To view this discussion on the web visit
> https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye5QyxamqDj1b6Diebm_kDu6meEbfO9gAndV%3DsmAmLJYfA%40mail.gmail.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
mission without implementation is hallucination

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments