Re: [Mabadiliko] JE WATANZANIA TUNA ELIMU YA KUTOSHA JUU YA WAGOMBEA BINAFSI?

Tuesday, November 11, 2014
Jovi,

Elimu ni muhimu itolewe. Demokrasia zilizokomaa kama za UK na kwingineko wagombea wengi wa serikali za mitaa, madiwani hasa hawana vyama - na imethibitika kuinua mijadala ya maendeleo dhidi ya mijadala na misuguano ya vyama katika halmashauri zao, Kaka Mabala anaweza kuongezea katia hili kwa uzoefu wake zaidi. 

Kwa ujumla mchanganyiko wa wawakilishi wa vyama na wasio na vyama huleta mwamko tofauti na nguvu za hoja za maendeleo na uendeshaji kutawala dhidi ya hoja za ushindani wa vyama. Ilani za wagombea kwa kawaida hutawaliwa na dira ya maendeleo kwa mtazamo wao na jinsi watakavyochangia maendeleo kupitia dira hizo. 

Raia wanaonekana pia kupendelea aina hii ya wagombea kwa utamaduni wao. Haitazamwi kama ubinafsi kama Shigela anavyoieleza katika uzi mwingine juu. Inachukuliwa kama kupanua wigo wa demokrasia kwa kutoa fursa kwa watu wenye nia na uwezo wa kuongoza lakini si wananchama wa chama chochote cha siasa.

Anna 

2014-11-11 4:11 GMT+03:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:

Elimu hakuna msisimko hakuna maumivu mbele kwa mbele

On Nov 10, 2014 12:10 PM, "Aliweiwei Machibya" <aliweiweimachibya@gmail.com> wrote:
Samahani  Mwanangu Leila. mdogo wangu  Augustine, Shigela,Ikwalala na Mbunge Dk peter D. kafumu na wanajukwa kwa ujumla. 
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa mwaka 2015,Je nafasi ya wagombea binafsi, wapiga kura  wanaelimu ya kutosha ? kwa mtazamo wangu kama elimu ya uraia hajatolewa vya kutosha juu ya suala hili, wagombea binafsi wataonekana kama vinyago kwa wananchi , pili katiba inasema nini juu yao kuhusu ruzuku na katika maandalizi yao ya kujinadi Je watagharimiwa na nani nawasilisha wanajukwaa. 

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAEWjnYWZnczY%3D746xRFHfSCbxk2kNOZVgzfeonocjZnqgsesfA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAO0QJYz%3DSgSQt4GmWWwEN25i_RKCA%3Dx6ZjxXkQ61m2_95NLf7w%40mail.gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAA304o4dNNWhQXKVs5YQfqS1gzyjOLkn4AV6qPJ%2B_%3DJ9NqNHxg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments