Re: [wanabidii] Ikulu: Tumefedheheshwa Jaji Warioba kushambuliwa

Monday, November 10, 2014
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa 'Mtu akisema nakerwa na rushwa tumwangalie usoni tuone huyu ndiye anakerwa na rushwa kweli?'
Nimelikumbuka neno hilo baana ya kusoma tamko la Katibu kiongozi kukerwa na vijana waliomfanyia fuji Warioba. Anasema Serikali imekerwa. Serikali anayosema ni ile yenye vyombo vya dola ikiwemo polisi ambao hadi sasa hatujasikia vijana hao kukamatwa licha ya kuwa picha viliwaonyesha na zinaweza kuwaonyesha hata sasa mtu akitaka.
Hizi nazo ni dalili za namna yake za serikali kukerwa.
--------------------------------------------
On Mon, 11/10/14, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Ikulu: Tumefedheheshwa Jaji Warioba kushambuliwa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, November 10, 2014, 8:37 PM

ipo haja ya wanausalama kuratibu
safari za ziongozi wastaafu na wa
kitaifa ili waweze kujipanga kulinda usalama wao.

On 11/10/14, Oksana Spice <worldngojobs@gmail.com>
wrote:
>
>
> Serikali inapitia upya ulinzi wa viongozi wastaafu ili
kuepuka fedheha
> iliyotokana na vurugu alizofanyiwa Waziri Mkuu mstaafu,
Jaji Joseph Warioba
>
> hivi karibuni.
>
> Mpango huo umeelezwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi
Ombeni Sefue mwishoni
> mwa wiki, akisema Serikali imekerwa na kufedheheshwa
kutokana na tukio hilo
>
> lililotokea wakati wa mdahalo wa Katiba Inayopendekezwa
katika Hoteli ya
> Blue Pearl, Dar es Salaam Novemba 2, mwaka huu.
>
> "Kimsingi tutakachokifanya ni kupitia upya mpango wa
ulinzi wa viongozi
> wote waliostaafu, japokuwa huwa tunafanya hivyo mara
kwa mara, lakini kwa
> hili la Mzee Warioba tunaliangalia kwa umakini wake.
>
> "Tumekerwa sana na tukio lile, halikutufurahisha hata
kidogo kama Serikali
> kwa kuwa limemvunjia heshima Mzee Warioba, yule ni mzee
wetu, anahitaji
> heshima, kwanza heshima yake na ulinzi."
>
> Kauli hiyo ya Sefue imekuja wakati mdahalo huo
uliovunjika baada ya Mzee
> Warioba kushambuliwa, ukiwa umetangazwa kufanyika upya
Jumapili Novemba 16,
>
> mwaka huu katika hoteli hiyohiyo.
>
> Mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,
Humphrey Polepole
> alithibitisha jana kuandaliwa kwa mdahalo huo kuanzia
saa 9.00 alasiri siku
>
> hiyo.
>
> Tukio la kufanyiwa vurugu Jaji Warioba lililaaniwa na
wananchi, wasomi,
> wanasiasa na wanaharakati mbalimbali wakisema
kuwashambulia viongozi na
> hasa katika mjadala wa Katiba ni kukosa uvumilivu na ni
kuashiria machafuko
>
> katika siku za usoni.
>
> Balozi Sefue aliongeza: "Najua si jambo zuri, iliwahi
kutokea pia kwa Mzee
> (Ali Hassan) Mwinyi, alipigwa kibao... sasa kingine ni
mazingira
> yanapotokea matukio haya, wakati mwingine ni ngumu."
>
> Mzee Mwinyi alipigwa kibao Machi 10, 2009 na mmoja wa
waumini wa dini ya
> Kiislamu katika Baraza la Maulidi wakati Rais huyo
mstaafu alipokuwa
> akihutubia.
>
> Kutokana na matukio hayo, Balozi Sefue alisema:
"Watanzania tumekuwa na
> tabia ya kuheshimiana lakini matukio haya yanatokea na
kila mmoja
> hatarajii, kinachotakiwa ni sisi tuwaheshimu wazee wetu
hawa."
>
> Mdahalo wa wiki iliyopita ulioandaliwa na Taasisi ya
Mwalimu Nyerere,
> ulivunjika baada ya kutokea vurugu wakati Jaji Warioba
alipokuwa akihoji
> vitendo vya baadhi ya watu kutumia vibaya jina la Baba
wa Taifa, Mwalimu
> Julius Nyerere.
>
> Jaji Warioba alikuwa akihitimisha hotuba yake
akichambua hoja zilizomo
> katika Katiba Inayopendekezwa akilinganisha na zile
zilizoachwa katika
> Rasimu ya Pili ya Katiba iliyoandaliwa na Tume ya
Mabadiliko ya Katiba
> aliyoiongoza.
>
> Vurugu hizo zilidumu kwa takriban dakika 45 ndani ya
ukumbi wa mikutano wa
> hoteli hiyo na msaidizi wake alimtoa ukumbini dakika 30
baada ya sakata
> hilo kuanza, hali iliyowapa nafasi vijana hao
walioonekana kujiandaa
> kufanya vurugu, kumsogelea Makamu huyo wa kwanza wa
rais mstaafu na kumtia
> msukosuko.
>
> http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Ikulu--Tumefedheheshwa-Jaji-Warioba-kushambuliwa/-/1597296/2516966/-/item/1/-/qxv44r/-/index.html
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership
signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments