Re: [Mabadiliko] Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema

Monday, November 10, 2014

Maurice,

Siku zote twakushangaa kushabikia mijizi, mifisadi na majangiri wa rasilimali za taifa.

Nchi yetu kwa sasa inahitaji maombi na kufunga, ukweli ni kuwa hatujui inaelekea wapi. Until CCM is gone, that is when this country will back to its foundations laid down by the founder of this nation.

SA.

On Nov 9, 2014 9:28 PM, "Maurice Oduor" <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
Mkubwa wangu Shigela,

The primary test of leadership is that a Leader must have faith in the services that are provided by the government that he leads. No 2 ways about it.

By going to the US for as simple a procedure as a prostate operation, the message that Kikwete is sending to Tanzanians is that his government has failed.

Nimeanza tiyari kuupotheza hishima na ushabiki nilokuwa nao kwake Kikwete na chama chake kinachotawala cha CCM.

Courage

2014-11-09 13:18 GMT-05:00 Shigela Aloyce <comrshigela@gmail.com>:

Maurice,

Huyu haziamini huduma za afya nchini mwake, hawaamini pia madaktari wake; lakini kikubwa,zaidi kwake ni kupata sababu ya kuzulura ughaibuni.

Unapomsikia Pinda akiwalalamikia wafadhili kusitisha misaada yao anamaanisha kuwa pesa ya kufanyia hizo starehe zao inapungua.

Akina Mjengwa wao wanakurupuka tu na pesa zisizowahusu, eti wanyonge watakosa huduma, zipi? Ama kweli akili ni nywele, maana kila mtu ana zake!

SA.

On Nov 9, 2014 8:35 PM, "Maurice Oduor" <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
Emmanuel,

That is a very simple operation that can be done at Muhimbili.

Why waste the taxpayers' money to go to the US? 

Courage

2014-11-09 12:19 GMT-05:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Maurice, 
Upasuaji ndio uliomleta. Tumwombee apone haraka.
em

Sent from my iPhone

On Nov 9, 2014, at 10:59 AM, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:

Huu upasuaji ndoo sababu yake kwenda Marekani ama mambo haya ya kiafya yametokea kwa ghafla alipokuwa huko? 

Courage

2014-11-09 10:45 GMT-05:00 Katulanda Frederick <fkatulanda@gmail.com>:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alfajiri ya jana, Jumamosi, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.

Rais Kikwete amefanyiwa upasuaji huo baada ya madaktari waliomfanyia uchunguzi wa afya yake kujiridhisha kuwa Rais alikuwa anahitaji matibabu ya aina hiyo.

Upasuaji huo uliofanyika alfajiri na kuchukua kiasi cha saa moja unusu, umefanyika salama na kwa mafanikio makubwa. Hali ya Mheshimiwa Rais Kikwete inaendelea vizuri, bado yuko wodini akiendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari na kupatiwa tiba. 

Wananchi wataendelea kupewa taarifa sahihi kuhusu hali ya Rais Kikwete kwa kadri zitakavyokuwa zinapatikana. 
 
Imetolewa na
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU
DAR ES SALAAM,
NOVEMBA 9, 2014

--
'Walk The Talk'
Frederick M. Katulanda
Cell: +255 784 642620,
Alternative:+255 754 642620
E-mail: fkatulanda@yahoo.com

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAJRvra1sf%2BsYNiAwLe6nrmmDaaYWFZRUcGG49OBxETGdupijnw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAKWnvr-E8D30fNwDrC_Nr%3DQ8qXiEurtL%2BrEBtFUF5j2V2GFXDA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/299601EB-8602-43AC-86CB-9195D3A877B2%40gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAKWnvr-Np0xGM4Re67Xb79UaXZ-44UPBp3QH5iPS4-ywpLOxBQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPPZ%3DWxwDir0-fL5WXz6EO_nHgAFH81VGB1H49JPLVLguu3iMw%40mail.gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAKWnvr_M2G3CXgrbkP%2BsJ_XDCpATx7x_2zN2ay6LsA1z52ptsg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPPZ%3DWzxDL57Zm%2BwbAxS_ixX0t1ofC6a%3DdKEKSKyPu8fSomm0Q%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments