[Mabadiliko] WANANCH WATAICHAGUA CCM MWAKANI-UTAFITI WA TWAWEZA

Wednesday, November 12, 2014


*Kutoka Makumbusho ya Taifa: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa #TZ2015#SautiZaWananchi
*Fuatilia kinachojiri Hapa Makumbusho ya Taifa na shiriki kwa kutumia hashtags #Kuelekea2015 #TZ2015 na#SautiZaWananchi

*Rakesh: Tuliwaalika makatibu wa vyama vya CCM, CHADEMA na CUF lkn wametoa udhuru #TZ2015#SautiZaWananchi #Kuelekea2015

*Rakesh: Mpango huu umelenga Tanzania Bara tu! Hakuna Visiwani, ni vema ifahamike mapema juu ya hili #Kuelekea2015

*Rakesh: Matokeo yanayotolewa leo ni ya kitaalam/kisayansi na wataalam toka nje ya nchi wamethibitisha #TZ2015 #Kuelekea2015 #SautiZaWananchi

*Utafiti wa Twaweza: Changamoto za Kiuchumi, Afya na Elimu ni matatizo makuu nchini #Kuelekea2015#SautiZaWananchi

*Twaweza: Asilimia kubwa ya wananchi #Kuelekea2015 #SautiZaWananchi 

*Twaweza: Asilimia 47 ya wananchi wapo tayari kuwapigia tena kura wabunge wao wa sasa na asilimia 47 hawapo tayari kuwarudisha #Kuelekea2015

 
*Hadi 2014, wananchi asilimia 54 wanaipenda CCM huku CHADEMA ikiwa na asilimia 27 na 10% hawana vyama watakavyo #Kuelekea2015

*Twaweza: 51% ya wananchi wapo tayari kuipigia kura CCM na 23% wapo tayari kuipigia kura CHADEMA #Kuelekea2015 #SautiZaWananchi

*Vijana 44% wanaiunga CCM mkono na 34% wanaiunga mkono CHADEMA kwa utafiti wa mwaka 2014 #SautiZaWananchi #Kuelekea2015

*Utafiti wa Twaweza: Kuelekea 2015, Mgombea wa CCM anaweza kushinda kwa 54% (kwa hali ya sasa) #Kuelekea2015

*Utafiti wa Twaweza: Kwa mwaka 2014 wana CCM wangependa mgombea Urais wao awe Lowassa akiwa na 17% na Pinda 14% na 24% wanataka yeyote

*Utafiti huu wa Twaweza ni Hadi Mwezi Septemba 2014 #SautiZaWananchi

*Kama wapinzani wataungana (UKAWA) dhidi ya CCM wananchi 47% wataipigia kura CCM na 28% UKAWA huku 19% wakipiga kura kulingana na mtu #TZ2015

*Wapinzani wangependa mgombea wao wa urais awe Dr. Slaa (41%), Lipumba 14% Mbowe 11% na 21% hawajaamua #Kuelekea2015

*Utafiti wa Twaweza: Bado wananchi hawajafanya uamuzi wa Uhakika juu ya Nani awe Rais wao! #Kuelekea2015 

*Dr. Bana: Tafiti hizi zinaakisi ukweli na mawazo ya jamii. Zisibezwe, zichukuliwe kwa umakini na wanasiasa! #Kuelekea2015 #SautiZaWananchi

*Utafiti wa Twaweza: Maoni ya wananchi juu ya Muungano wa wapinzani #Kuelekea2015 #SautiZaWananchi 

*Twaweza: Majina ya wanaotajwa kwa Urais hayakuandaliwa na Twaweza, yalitajwa na wananchi na hivyo suala la Jinsia ni la wananchi #TZ2015

*Nape: Tunakubaliana na methodology iliyotumiwa na Twaweza lkn tunatambua kuwa hayamaanishi ndio hitimisho #Kuelekea2015

*Nape: Wananchi wengi hawakulipa umuhimu sana suala la Katiba katika Ziara zetu Mikoani badala yake wamegusia matatizo yao #Kuelekea2015

http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/756720-kinachojiri-kwenye-mjadala-maoni-na-matakwa-ya-wananchi-juu-ya-uongozi-wa-kisiasa-kuelekea-2015-a.html
--

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6QiG59yaAd7dUXvro%3DjHLAYpxjxNgNXKQ_6aLhCEAoOisQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments