[Mabadiliko] Msaada kwenye tuta

Tuesday, November 18, 2014
Wandugu nitarajia kujadili (na umma) dhana ya fidia kwa mtazamo wa
sheria za nchi yetu. Ninataka mtu ambae anafahamu kuhusu fidia na
labda kuhusu fidia ya wakulima wa zao la pamba awe mmoja wa
wazungumzaji. Hivyo, ninaomba kwa mtu mwenye contacts za mwanasheria
anaeishi shinyanga anipatie hizo contacts...

Asante !
--


Cell: +255 754 388 882

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com


For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMcDKf%2BdozT%3DAy%2BR9HZu6%2BfK-qjMyZqpfOYZwcs-i_bCSW1YFw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments