[Mabadiliko] Makonda, Msukuma na Mwkt wa CCM Mkoa wa Mwanza waonja nguvu ya Chadema Buchosa na Sengerema.

Monday, November 17, 2014

Wapenda Mabadiliko,

Nipo huku Buchosa, jimbo mojawapo ktk wilaya ya Sengerema. Helkopta ya CCM imetua hapa Nyehunge makao makuu ya jimbo na kukutana na upinzani mkali toka kwa wananchi. Si Makonda wala jeuri za mwkt wa mkoa wa Geita Msukuma, wote wamekutana na peoples power na kushindwa kuhutubia. Wamechoma mafuta bure na kuambulia umati mdogo na kuongea dk chache na kwenda Sengerema ambako nako nasikia helkopta inazunguka kuvuta watu kuja kwenye mkutano watu hawatoki.

Huku Chadema imefika hadi kwenye shina. Watu hawataki tena kusikiliza uongo wa miaka yote. Baada  ya Mdee kupita huku CCM iko imeachwa hoi.

Chadema waje tu kusukuma mlevi serikali za mitaa.

SOURCE: Yohana Nyehu
nge.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CADVpsxRYqNyfUFX_GScc-Jum%2B2t%3DS%2BF_kZLrcv%2BBunOckrAf6g%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments