[wanabidii] Mjadala wa kitaifa kwa wenza wa wanaoutaka urais

Tuesday, October 07, 2014
Ninaomba forum hii ijadili mambo mazito ya kitaifa. ninapendekeza mjadala wa kitaifa kwa wenza wa wanaoutaka urais. hii itasaidia kuona kama wanaoutaka urais wake au waume zao wana uelewa wa masuala ya kitaifa na kimataifa. wenza hawa ni washauri zaidi ya washauri ambao rais au mkuu wa nchi hupewa na serikali.

tujadili tafadhali.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments