20 wafariki Mbagala.
Lori la mafuta limeanguka Mbagala jijini Dae Es salaam na kusababisha vifo vya watu 20 papo hapo.Watu hao wamekufa baada ya mtu mmoja mwenye sigara kusogelea eneo hilo akiwa na sigara iliyosababisha mlipuko mkubwa.Watu hao walivamia eneo la Mbagala rangi 3 na kuanza kuchota mafuta yaliyomwagika kutoka kwenye gari hilo.watu kadhaa pia wamejeruhiwa kutokana na ajali hiyo.
-- Lori la mafuta limeanguka Mbagala jijini Dae Es salaam na kusababisha vifo vya watu 20 papo hapo.Watu hao wamekufa baada ya mtu mmoja mwenye sigara kusogelea eneo hilo akiwa na sigara iliyosababisha mlipuko mkubwa.Watu hao walivamia eneo la Mbagala rangi 3 na kuanza kuchota mafuta yaliyomwagika kutoka kwenye gari hilo.watu kadhaa pia wamejeruhiwa kutokana na ajali hiyo.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments