TANGAZO
WADAU HABARI YA MUDA HUU
WADAU HABARI YA MUDA HUU
NYUMBA NZURI YENYE UKUBWA VYUMBA VITANO NA SEBULE KUBWA INAUZWA. IPO MKOA WA MOROGORO KATIKA KATA YA KIHONDA ENEO LA KIHONDA BIMA KARIBU KABISA NA ENEO LA "NYUMBANI PARK" NI JIRANI NA BARABARA YA MOROGORO -DODOMA. BEI YAKE NI MILIONI 80. KIWANJA KIMEPIMWA NA INA NYARAKA ZOTE MUHIMU ZA UMILIKI. HIVYO, KWA MWENYE UHITAJI WAQ KUNUNUA ASISITE KUWASILIANA MUDA WOWOTE KWA 0717-707187 AU 0763-208186. KARIBUNI SANA
0 Comments