je bado tu yupo mwenye shaka kuwa vita dhidi ya ugaidi ni vita dhidi ya uislamu?
kwanini mwislamu akituhumiwa kuuwa hata kuku huitwa gaidi lakini kafiri akiuwa kijiji kizima hatusikii neno gaidi?
na hii ni dalili makafiri na mfumo wao wa kibepari na democrassia yao ni dhaifu na duni kutangaza vita kwa jina bandia ni dalili ya khofu na kuto jiamini na hii ni dalili kuwa uislamu ni dini ya haki na si muda mrfu tutashinda kama si kupatikana wana fiki wanao jiita waislamu mambo yangekuwa yamesha malizika zamani
kwanini watangaze ugaidi badala ya uislamu?
wanajua kuwa licha ya waislamu kulala mabongo yao lakini wakijaribu kuitangaza kuwa sasa ni vita dhidi ya uislamu mambo yatawatumbikia nyongo
-- kwanini mwislamu akituhumiwa kuuwa hata kuku huitwa gaidi lakini kafiri akiuwa kijiji kizima hatusikii neno gaidi?
na hii ni dalili makafiri na mfumo wao wa kibepari na democrassia yao ni dhaifu na duni kutangaza vita kwa jina bandia ni dalili ya khofu na kuto jiamini na hii ni dalili kuwa uislamu ni dini ya haki na si muda mrfu tutashinda kama si kupatikana wana fiki wanao jiita waislamu mambo yangekuwa yamesha malizika zamani
kwanini watangaze ugaidi badala ya uislamu?
wanajua kuwa licha ya waislamu kulala mabongo yao lakini wakijaribu kuitangaza kuwa sasa ni vita dhidi ya uislamu mambo yatawatumbikia nyongo
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments