"Asenga mie....kijana toka chadema
Naomba uchukue hii taarfa...naipenda Tanzania kulikko chama
Naomba unisitiri jina langu"
Salaam!
Taarifa toka ndani ya CHADEMA!
Kwa mujibu wa kilichoongozwa na Mnyika, Kigaila na mratibu wao wa Kanda. Kesho watafanya maandamano ya kushitukiza kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam ifikapo saa 3:00 asubuhi.
Maandano haya awali yalikuwa yafanyike kwenye Wilaya zote za Mkoa wa Dar katika muda huo na baadae wakutane saa 8:00 kwa Mkuu wa Mkoa.
Vile vile watatumia mtindo wa kuingia pale bila sare za Chama kama walivyofanya pale Wizarani. Ila haya ya kesho wataingia hapo kwenye Idara tofauti tofauti wakijifanya wanahitaji huduma na lengo kubwa ni kusimamisha huduma za kijamii.
Taarifa hizi zikufikie Kamanda Kova na Vijana wako.
Ni waombe waandishi wa habari msije mkasema nanyi mlikuwa mnatafuta habari! Tafadhali vaeni vitu vitakavyo watofautisha na hawa wahuni.
John rafiki yangu umeahamua kulingiza Taifa matatizoni na shindwa pia kuelewa LHRC haki ipo kwa Chadema na Washirika wao tu. Jamani waoneeni huruma watoto wa wenzenu.
Nawasilisha wadau tusaidieane katika hili!!!
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments