Ben Saanane,Henry Kilewo na Tumaini makene waenguliwa kamati kuu.
Katika hali ambayo hawakuitarajia
kutokana na Tabia zao hawa vijana
za kuwalamba miguu vigogo wa kuu
wa KUDUMU wa chadema, leo vijana
hawa wameenguliwa kutoka katika
kinyang'anyiro cha kugombea
ujumbe wa kamati kuu ya chama.
Ben Saanane kijana aliyejipatia
umaarufu kupitia mgongo wa zitto
kabwe, alianza kunukiwa na bundi la
kutokukubalika toka 2009
alipogombea uenyekiti bavicha na
kutolewa, mwaka 2014 baada ya
kubuni mkakati wa kujisogeza karibu
na wakubwa ambao ni viongozi wa
KuDUMU pale chadema, bado jina
lake liliondolewa kwa mizengwe.
Mpiganaji huyu hakuishia hapo
aliamua kujitosa ktk kutafuta ujumbe
kamati kuu, huku akijitapa kua
atawabwaga akina prof. Baregu,
lakini kumbe mbio za sakafuni
huishia ukingoni, na kua ngoma ya
watoto haikeshi. Ben ametolewa leo
kwa kukosa sifa ya kugombea.
Kijana huyu ambaye hujinadi kwa kua
MAKINI na mfuata taratibu na kanuni,
lakini mara zote 3 ametoswa kwa
kutofuata kanuni,katiba za uchaguzi.
Habari za ndani zibadai kua Ben ni
double agent kwa chadema na kundi
moja ya mgombea wa ccm, ambaye
ni waziri na mbunge kutoka mikoa ya
kusini. Hivyo ni vigumu kuaminika
kwa wakuu wa ufipa.
kilewo ambaye ni kijana-mzee
ambaye jina lake lilianza kupata
umaarufu kutokana na kufanya tukio
la kigaidi kumwagia tindikali Mussa
Tesha, kitu ambacho kilimpelekea
kushitakiwa na Jamhuri leo nae
ameenguliwa katika nafasi ya
ugombea.
Kilewo huyu ambae umaarufu wake
ukiacha tukio hilo la ugaidi, pia
amefalifamika zaidi baada ya kubuni
mradi wa kitapeli uliokuja kupigwa
marufuku na serikali wa TelexFree.
Leo hii hana chake mitaa ya ufipa.
Tumaini Makene afisa habari
anayejituma kufafanua mambo
mitandaoni hasa yahusuyu chadema,
au mbowe na dr slaa, leo ametoswa
pia.
Ndo maana leo kwa hasira na kisirani
hajaandika hata kuhusu updates za
mkutano wa baraza kuu kama ilivyo
kua kawaida yake
Poleni sana vijana msikate tamaa hii
ndo chadema, na siku mkimjua M2
ndo mtapona
Aluta continua, ascertera vista...
-- Katika hali ambayo hawakuitarajia
kutokana na Tabia zao hawa vijana
za kuwalamba miguu vigogo wa kuu
wa KUDUMU wa chadema, leo vijana
hawa wameenguliwa kutoka katika
kinyang'anyiro cha kugombea
ujumbe wa kamati kuu ya chama.
Ben Saanane kijana aliyejipatia
umaarufu kupitia mgongo wa zitto
kabwe, alianza kunukiwa na bundi la
kutokukubalika toka 2009
alipogombea uenyekiti bavicha na
kutolewa, mwaka 2014 baada ya
kubuni mkakati wa kujisogeza karibu
na wakubwa ambao ni viongozi wa
KuDUMU pale chadema, bado jina
lake liliondolewa kwa mizengwe.
Mpiganaji huyu hakuishia hapo
aliamua kujitosa ktk kutafuta ujumbe
kamati kuu, huku akijitapa kua
atawabwaga akina prof. Baregu,
lakini kumbe mbio za sakafuni
huishia ukingoni, na kua ngoma ya
watoto haikeshi. Ben ametolewa leo
kwa kukosa sifa ya kugombea.
Kijana huyu ambaye hujinadi kwa kua
MAKINI na mfuata taratibu na kanuni,
lakini mara zote 3 ametoswa kwa
kutofuata kanuni,katiba za uchaguzi.
Habari za ndani zibadai kua Ben ni
double agent kwa chadema na kundi
moja ya mgombea wa ccm, ambaye
ni waziri na mbunge kutoka mikoa ya
kusini. Hivyo ni vigumu kuaminika
kwa wakuu wa ufipa.
kilewo ambaye ni kijana-mzee
ambaye jina lake lilianza kupata
umaarufu kutokana na kufanya tukio
la kigaidi kumwagia tindikali Mussa
Tesha, kitu ambacho kilimpelekea
kushitakiwa na Jamhuri leo nae
ameenguliwa katika nafasi ya
ugombea.
Kilewo huyu ambae umaarufu wake
ukiacha tukio hilo la ugaidi, pia
amefalifamika zaidi baada ya kubuni
mradi wa kitapeli uliokuja kupigwa
marufuku na serikali wa TelexFree.
Leo hii hana chake mitaa ya ufipa.
Tumaini Makene afisa habari
anayejituma kufafanua mambo
mitandaoni hasa yahusuyu chadema,
au mbowe na dr slaa, leo ametoswa
pia.
Ndo maana leo kwa hasira na kisirani
hajaandika hata kuhusu updates za
mkutano wa baraza kuu kama ilivyo
kua kawaida yake
Poleni sana vijana msikate tamaa hii
ndo chadema, na siku mkimjua M2
ndo mtapona
Aluta continua, ascertera vista...
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments