[wanabidii] URAIS 2015 - MHE SAMWEL SITTA

Friday, August 08, 2014


-         Mwanafunzi wa Kwanza kuongoza maandamano ya chuo kikuu cha dar es salaam mpaka ikulu mwaka 1966.

-         Amekua kiongozi kuanzia mwaka 1970, kwenye nafasi za waziri , mbunge na mkurugenzi .

-         Akiwa spika wa bunge alijenga nyumba ya mil 500.

-         Mkewe Mhe Magret sitta aliwahi kukamatwa na tukukuru kwa kutoa rushwa ili ashinde ubunge .

-         Toka amekuwa waziri wa afrika mashariki nchi imetengwa kwenye miradi mingi ya kimaendeleo inayofanywa nan chi jirani .

-         Hata mafanikio yoyote ya kujivunia kitaaluma ya sheria ambayo ndio aliyosomea chuoni .

-         Hajawahi kuandika wala kuchapa kitabu chochote .

-         Hashiriki michezo wala shuguli za kijamii zaidi ya dini yake ya kilutheri .

-         Ana umri wa miaka zaidi ya 65 , umri wa kustaafu kazi za umma ni 60 .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments