SIFA ZA RAIS HUYU MKOMBOZI
Kwanza ieleweke Rais ndiye kiongozi wa juu katika nchi yoyote. Huyu ndiye kiongozi mwenye maamuzi yote muhimu kuhusu taifa Lake .kwasababu Hiyo taifa lolote Lazima liwe na kiongozi mmoja mwenye mammlaka ya mwisho.
Huu Ni utaratibu aliouweka mungu toka kuumbwa Kwa ulimwengu,Ndiyo maana wanadamu wanaitwa Wana wa mungu. Na Yeye aliwaumba Kwa mfano wake mwenyewe. Hivyo mambo yote yaliyo mema katika mwanadamu mwasisi wake Ni mungu muumba wake.
Lakini ieleweke Kuwa Kila jambo lina pande mbili .hivyo mabaya nayo mwasisi wake Ni yule mwovu .vitabu vitatakatifu vinasema ya Kuwa.Rais au mfalme huchaguliwa na mungu. Neno hili Ni Kweli kabisa .Ila lipo swali moja linalosumbua watu sana na kuwachanganya Ni pale linapotokea Rais mbaya kama vile Mabotu Sseseko na Hitler .Watu huuliza je Hawa Ni mungu aliyewachagua?
Jibu Ni Rais .nilitangulia kusema Kwa Kila jambo lina pande mbili .mungu ndiye mwasisi wa mambo mema.pale ukionaa ametokea Rais mwovu asiyefaa.jua basi mungu Aliondoa mkono wake hivyo yule mwovu ndiye aliyefanya kazi Hiyo. Pale wanapotakataaa kuheshimu mungu na kutenda yaliyo mema ili shetani aweze kuwapa kiongozi atakayewapa Shida na Mateso ili angalau wajute na kumrudiaa muumba wao apate kuwarehemuu.hivyo Kila kiongozi huwekwa Kwa ridhaa ya mungu.See muovu au mwema huwekwa Kwa makusudi maalum...
Akiwa mwovu jambo hili siyo
Jema .maana Hapa ndipo pale nchi huweza kuingia kwenye vurugu na vita ya wenyewe Kwa wenyewe.
Hii ndiyo sababu Taifa na watu wake wanapaswa wawe lakini kutoka Kwa viongozi wanaowapa nafasi Za kuwaongoza
Baraka au laana nchi inatetegemea kiongozi mliyemweka juu yenu.Pia inategemea jinsi alivyoingia madarakani
Lazima ufahamu kiongozi unayempa kura ana uwezo gani kuwasaidia wananchi ,ataondoaje kero Za nchi yako yule mwenye maelezo sahihi ndiye anafaa kupewa kura
Sifa Za Rais ataweza Kuwa mkombozi
1.Mcha mungu
2.Elimu na vipaji pekee
3.Mwenye maoni(Vision)nrw thought and new Action.
4.Mtu mwenye mikono Safi
5Mtu mwenye siasa unganishi
6.Wito.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments