[wanabidii] Serikali kupunguza mafao kwa wastaafu mifuko ya hifadhi ya jamii

Friday, August 15, 2014
Ni katika rasimu inayotegemewa kupelekwa bungeni kwamba mwalimu aliyekua akikatwa 80,000 kwa mwaka kwa kutumia kikokotoo cha zamani cha 500/8, mwalimu huyo wa shule msingi alikua akipokea 59.57 milioni lakini kwa kutumia kikokotoo cha sasa cha 580/8 mwalim huyohuyo atapokea 26,000,000.

NATAKA SERIKALI ITOE MAELEZO YAKINA JUU YA RASIMU HII.

CHANZO: RFA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments