Najua unayo mamlaka ya kuhariri lakini nitapenda isomeke kama nilivyoandika hapo juu.
Katika gazeti lako la leo Mwananchi August 09 ukarasa wa pili
"wajiandae kuwa Wabunge wa Mahakama imeandikwa na Julias Mathias " katika habari hio nami nimetajwa kwa jina napenda kumkumbusha Lissu kama anapenda kusema akili yake isiwe ya kusahau ni hatari kwa Kiongozi na wala hataepuka kuitwa mropokaji naomba arejee kauli yake iliyoandikwa pia na gazeti lako la 27.06.2014
Nanukuu "......kutoruhusiwa kushiriki shughuli za kambi hio......""
Lissu anapata wapi uhalali wa kuhoji matendo na maamuzi yangu wakati wamenitenga kinyume na kanuni za kambi rasmi hivi Lissu ni nani anapoka mamlaka na kuachiwa katika suala hili angewaachia wenye akili na busara kushughulikia na kulisemea na si Lissu.
Aidha kukaa kimya si ujinga ni busara tu lakini si kwa kila jambo utaacha kusema huyu Lissu anapolazimisha kwamba hatushiriki mpaka uongozi wa BMK watoe ufafanuzi wa kifungu cha 25 cha sheria ya mchakato wa Katiba sura ya 83 anajidanganya na kuwadanganya Watanzania Bunge kazi yake kutunga Sheria na chombo cha Kikatiba cha kutafsiri sheria ni Mahakama ningemuelewa vyema kama Lissu Mwanasheria angetushauri kwenda Mahakamani kusimamisha Bunge hili kupata tafsiri ya sheria na sio kushawishi kutoka.
Mwisho hivi huyu Lissu haoni hata chembe ya aibu na kuheshimu maoni ya watu na viongozi wa dini kututaka kurudi Bungeni lakini ameweza kusema hadharani kuwajibu viongozi wa BAKWATA mbona hakufungua mdomo wake kuwajibu viongozi wa Makanisa au la Maaskofu Katoliki Tanzania Mimi nawaheshimu sana viongozi hawa nimewasikia na kuwatii
Lissu weka akiba ya maneno usiwe mropokaji Tanzania inahitaji viongozi makini waliotulia
Said A Arfi (MB)
-- Katika gazeti lako la leo Mwananchi August 09 ukarasa wa pili

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments