[wanabidii] RIP Padre Gaudiosus Burchard Rutakyamirwa

Monday, August 11, 2014

Wapendwa ninasikitika kuwatangazia kifo cha pacha wangu Padre Gaudiosus Burchard Rutakyamirwa kilichotokea leo katika hospitali ya Mugana.

Pd. Gaudious Ruta (65) ni mzaliwa wa Kashasha Kiziba Bk. Vijijini.

Nilisoma naye shule kuanzia la darasa la 6 Bunena harafu Rutabo, Rubya, Ntungamo na mwishowe Roma. Tukapewa upadrisho pamoja. Hivyo ni pacha wangu. Amefanya kazi Kanyigo, alirudi Roma na kupata MA katika Biblia Takatifu. Akafundisha Kipalapala Baada ya kufuzu Biblia na baadaye kuwa Rector wa Seminari Kubwa ya Kibosho. Alikuwa mmisionari Burundi na baadaye kuhudumia Naples Italy. Akiwa Italy alipata tuzo ya oscar ya amani

Aliporudi amfanya kazi Ishozi na kuwa paroko Katoma. Shauri ya afya alistaafu uparoko akabaki paroko msaifizi.Tunatoa pole kwa Advocate Charles Rwechungura mdogo wake na familia nzima.

Kwa wanafunzi wake wengi.Mazishi yatakuwa Rubya maziko ya mapadre Jumatatu tarehe 11 Agosti saa 4 aaubuhi. Niko natoka safarini Ghana kuwahi mazishi.

.MUNGU ALITPA MUNGU AMETWAA AHIMIDIWE

RIP

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments