[wanabidii] HABIBU MCHANGE KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KESHO

Wednesday, August 13, 2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
----------------------------------------
Mimi HABIBU MCHANGE. ambaye pamoja na mambo mengine NIMETAJWA KUPANGA NJAMA ZA KULIPUA HELKOPTA NA KUMUUA DOKTA SLAA NA MNYIKA...

Kesho TAREHE 14.08.2014 kuanzia SAA NNE KAMILI ASUBUHI Nitazungumza na WAANDISHI WA HABARI TAMAL HOTEL MWENGE ukumbi Wa OVAL HALL kuzungumzia maswala mbali mbali zikiwemo na TUHUMA HIZO....

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments