Juzi tuliwaona wanaojiita Wanawake wa Chadema wakimpeleka fomu Halima Mdee wa kutoka mkoa wa KILIMANJARO wakimwomba agombee uenyekiti wa Taifa wa BAWACHA hadi akaamua kulia machozi.
Jana tukawaona wanaojiita wazee wa Chadema wakimpelekea fomuvya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe wa kutoka kulekule mkoani KILIMANJARO.
Huu ni usanii na ubaguzi wa hali ya juu!!
Hapa najiuliza inawezekana vp watu kutoka Kilimanjaro tu ndio wanaobembelezwa kugombea nafasi za juu ndani ya chadema?
Wenye haki ya kugombea nafasi za juu za kiuongozi ndani ya Chadema ni lazima watoke mkoa wa kilimanjaro au kanda ya kaskazini? Watu wa kutoka kanda nyinginezo hawafai kuiongoza chadema nafasi za juu?
Tukisema chadema kinawabagua na kuwagawa Watanzania kwa misingi ya kikabila na kikanda tutakuwa tumekosea?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments