Huyu Mheshimiwa ametajwa kwenye mbio za urais 2015
Nina mambo 4 ninayokumbuka kuhusu yeye ambayo amewahi kuyataja na kuyatetea sasa tuanze kuyajadili .
A – Uraia wa Nchi mbili , Amekuwa anapigia chepe uraia wan chi mbili kwa kipindi kirefu sijui yeye binafsi ana maslahi gani na hili
B – Mahakama ya Kadhi , Amewahi kuongelea kuwapa waslamu mahakama itakayoamua mambo yao
C – Uhusiano wetu na majirani haswa Rwanda na Malawi , Amekuwa na misimamo mikali kuhusu majirani hawa mpaka wakati mwingine tunashtuka tukimpa madaraka zaidi si ataweza kutuingiza vitani kila siku ?
D – Siasa za Kimataifa , Hajaweza kuimudu vilivyo siasa za kimataifa , tumeona alivyonywea Libya wakati NATO Walipoanza kushambulia kwa mabomu , Kuna migogoro nchi nyingi za afrika hatujasikia msimamo thabiti wa mheshimiwa .
Kama kuna la kuongeza tuendelee .
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments