[caption id="attachment_48950" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-48950" alt="Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0634.jpg" width="640" height="390" /> Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.[/caption]
[caption id="attachment_48954" align="aligncenter" width="564"]<img class="size-full wp-image-48954" alt="Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakijiandikisha kabla ya kuanza kwa mkutano." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0493.jpg" width="564" height="480" /> Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakijiandikisha kabla ya kuanza kwa mkutano.[/caption]
[caption id="attachment_48953" align="aligncenter" width="480"]<img class="size-full wp-image-48953" alt="Mkurugenzi wa Mfuko wa Wanawake Tanzania (WFT), Mary Rusimbi akiwasilisha mada katika katika mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0528.jpg" width="480" height="612" /> Mkurugenzi wa Mfuko wa Wanawake Tanzania (WFT), Mary Rusimbi akiwasilisha mada katika katika mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.[/caption]
[caption id="attachment_48951" align="aligncenter" width="480"]<img class="size-full wp-image-48951" alt="Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Ruth Meena akiwasilisha mada." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0613.jpg" width="480" height="604" /> Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Ruth Meena akiwasilisha mada.[/caption]
[caption id="attachment_48952" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-48952" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka (kulia) akiwasilisha mada kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0599.jpg" width="640" height="404" /> Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka (kulia) akiwasilisha mada kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.[/caption]
[caption id="attachment_48948" align="aligncenter" width="480"]<img class="size-full wp-image-48948" alt="Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakichangia mada katika mkutano huo." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0695.jpg" width="480" height="550" /> Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakichangia mada katika mkutano huo.[/caption]
[caption id="attachment_48947" align="aligncenter" width="457"]<img class="size-full wp-image-48947" alt="Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakichangia mada katika mkutano huo." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0704.jpg" width="457" height="640" /> Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakichangia mada katika mkutano huo.[/caption]
[caption id="attachment_48944" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-48944" alt="Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0742.jpg" width="640" height="371" /> Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.[/caption]
[caption id="attachment_48946" align="aligncenter" width="415"]<img class="size-full wp-image-48946" alt="Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakichangia mada katika mkutano huo." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0712.jpg" width="415" height="640" /> Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakichangia mada katika mkutano huo.[/caption]
[caption id="attachment_48943" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-48943" alt="Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba katika mkutano huo." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0746.jpg" width="640" height="356" /> Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba katika mkutano huo.[/caption]
[caption id="attachment_48945" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-48945" alt="Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba katika mkutano huo." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0741.jpg" width="640" height="410" /> Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano huo.[/caption]
<strong>MTANDAO</strong> wa Wanawake na Katiba nchini Tanzania umewakutanisha baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba kujadili namna ya kushinikiza masuala ya haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya pili ya Katiba Mpya.
Semina hiyo iliyoshirikisha wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wanahabari imeanza leo katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam na itafanyika kwa siku mbili yaani Julai 24 na 25, 2014.
Akizungumza kukaribisha washiriki wa mkutano huo, Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka alisema wajumbe katika mkutano huo watajadili umuhimu wa kuimarisha masuala ya haki za wanawake katika Katiba.
Alisema kuwa wajumbe pia watajadili namna ya kutetea na kulinda masuala muhimu ya haki za wanawake yaliyojitokeza katika rasimu ya pili ya Katiba Mpya ikiwa ni pamoja na kubadilishana mawazo na uzoefu kuhusiana na masuala ya katiba yenye maslahi ya wanawake na taifa.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mfuko wa Wanawake Tanzania (WFT), Mary Rusimbi ambao ni moja ya taasisi zilizoratibu mkutano huo, alisema pamoja na mambo mengine madhumuni ya mkutano huo ni kuwawezesha wabunge wanawake kwa wanaume katika Bunge Maalum la Katiba na wanaharakati wa jinsia na haki za wanawake kuimarisha hoja zao.
Katika mkutano huo wahariri wa vyombo anuai vya habari kwa nyakati tofauti waliwataka wajumbe hao kuvitumia ipasavyo vyombo vya habari ikiwa ni pamoja na kutoa ushirikiano ili hoja zao ziingie katika vyombo hivyo na kuifikia jamii.
Kwa upande wao baadhi ya wajumbe wa bunge maalum la Katiba wakizungumza kujibu baadhi ya maswali ya wahariri wa habari walisema wamejipanga kupaza sauti kuhakikisha hoja zao wanazozipigania zinaingizwa katika Katiba Mpya.
Naye Mjumbe wa Bunge Maalum, Dk. Avemaria Semakafu alivitaka vyombo vya habari kuendelea kuwaunga mkono wanamtandao hao ili kupigania kero za akinamama na wananchi kwa ujumla na kuhakikisha zinapata majibu katika mchakato wa uundaji katiba mpya.
*Imeandaliwa na www.thehabari.com
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments