Kuna mgomo mkubwa unafukuta
ndani ya Tanesco. Wafanyakazi
karibu idara zote wamegoma hapa
Tanesco Mbezi Na Tanesco
Magomeni.
Tatizo kuu ni makato yasiyoeleweka
ndani ya mishahara yao, mishahara
midogo na kukatwa over time zao
huku hali ya maisha ikiwa ngumu
na wafanyakazi wakitakiwa
kupunguzwa.
Shikamoo Tanzania!
Shikamoo Tanesco.
-- ndani ya Tanesco. Wafanyakazi
karibu idara zote wamegoma hapa
Tanesco Mbezi Na Tanesco
Magomeni.
Tatizo kuu ni makato yasiyoeleweka
ndani ya mishahara yao, mishahara
midogo na kukatwa over time zao
huku hali ya maisha ikiwa ngumu
na wafanyakazi wakitakiwa
kupunguzwa.
Shikamoo Tanzania!
Shikamoo Tanesco.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments