[wanabidii] Kuna tofauti kubwa kati ya Upelelezi na Hujuma

Tuesday, June 24, 2014
Kuna tofauti kubwa kati ya Upelelezi na Hujuma 

Kwa jamii za kwetu kwenye nchi zinazoendelea ambazo hazina watu wa kutosha na vitendea kazi , mara nyingi mpelelezi ndio mtekelezaji wa hujuma au operesheni Fulani .

Kwa jamii zilizoendelea zenye watu wengi wa fani hizo na vifaa vya kutosha pamoja na fedha , Mpelelezi sio mtekelezaji wa Hujuma au Operesheni .

Kazi na mpelelezi au upelelezi ni kutafuta taarifa sahihi kwa njia zozote zile na kuziwasilisha kwa wapanga mipango kwa ajili ya kuandaa kikosi au mtu wa kuendesha au kufanya hujuma Fulani .

Ndio maana operesheni Fulani zinafanikiwa au hujuma Fulani zinafanikiwa sana kutokana na kugawana majukumu haya na kuwa na watu waliopewa mafunzo kwa muda mfupi au mrefu kwa ajili ya hujuma au operesheni Fulani tu .


--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments